Asilimia ndogo ya wanafunzi wa kike Tanzania wadaiwa kujiunga na masomo ya fani za sayansi

  • | VOA Swahili
    169 views
    Nchini Tanzania wasichana wanahamasishwa kujiunga zaidi na masomo ya sayansi kwani ni asilimia chache ya wanafunzi wa kike wanaingia katika fani za sayansi. Mashirika mbali mbali yanaendelea kufanya juhudi kuinua wasichana katika fani hizo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.