Serikali yawasilisha miche itakayopandwa katika kaunti zote

  • | Citizen TV
    874 views

    Kaunti mbalimbali nchini zimefanya maandalizi ya siku ya kitaifa ya upanzi wa miti hapo kesho. Takriban kaunti zote zimepokea kea miche yao tayari kwa upanzi huku wenyeji wakihamasishwa kujitokeza kwa wingi. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa KEFRI Dkt Jane Njuguna anasema serikali imesambaza miche milioni mia moja na hamsini katika maeneo tofauti nchini.