Hospitali ya Shifa imekuwa ikishambuliwa

  • | VOA Swahili
    72 views
    ”Hospitali ya Shifa ambayo ni kituo kikubwa sana cha matibabu imekuwa ikishambuliwa kwa muda wa saa 48 zilizopita, ina madaktari, wahudumu wa Afya na wagonjwa waliokwama ndani ya hospitali hiyo, kutokana na mapigano makali karibu na hospitali hiyo. Wahudumu wa afya wako hatarini, na hawawezi. kuhama, kuondoka au kuingia hospitali, wafanyakazi wetu walikuwa wameshuhudia kulengwa kwa baadhi ya watu ambao walikuwa wakikimbilia ndani ya hospitali, na hali inazidi kuwa mbaya, haswa na mfumo wa afya huko Gaza katika mwezi uliopita.” Kwa mujibu wa Mshauri wa mawasiliano wa maeneo ya Palestina yaliokaliwa