Netanyahu asisitiza kuendelea na operesheni za kijeshi dhidi ya Hamas mpaka ushindi upatikane

  • | VOA Swahili
    978 views
    Huku akisisitiza kwamba nchi yake itaendelea na operesheni za kijeshi huko Gaza mpaka waishinde Hamas, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alizungumzia uvumi jana Jumapili kuhusu uwezekano wa makubaliano ya kuachiliwa kwa zaidi ya mateka 240 waliotekwa na kundi la wanamgambo hapo Oktoba 7. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.