Umoja wa Mataifa umeyaelezea mafuriko yamewabandua maelfu ya watu makwao nchini Somalia pamoja na mataifa mengine ya AFrika Mashariki kufutia kipindi cha ukame cha kihistoria kilichotokea mara moja karne.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters, takriban watu milioni 1.6 nchini Somalia huenda wakaathiriwa na mvua kubwa za msimu ambazo pia zimechochewa na matukio mawili
ya kutokana ya mabadiliko ya hali ya hewa, mvua za El Nino na Dipole kwenye bahari Hindi, kulingana taarifa ya Alhamisi kutoka ofisi ya UN inayoratibu masuala ya kibinadamu, OCHA.
Mafuriko hayo yaliyofuatiwa na mvua kubwa zilizoanza mapema mwezi uliopita tayari yameua takriban watu 29 na kuwalazimisha wengine zaidi ya laki 3 kuhama makwao nchini Somalia, huku miji na vijiji vikisombwa na maji.
18 Aug 2025
- Chinese foreign minister Wang Yi will visit India from Monday to Wednesday, China's foreign ministry said in a statement on Saturday, for talks about a disputed border in the Himalayas.
18 Aug 2025
- The high-profile meeting, set to take place at the KCB Leadership Centre in Nairobi, will bring together all MPs from the two parties under the framework of the broad-based government arrangement.
18 Aug 2025
- The inferno, which broke out earlier this week, claimed the life of one person while two minors are fighting for their lives at the Kenyatta National Hospital after sustaining severe burns.
18 Aug 2025
- In a strongly worded social media post, the former Gatundu South MP criticized what he termed the “broad-brush condemnation” of the Kikuyu community in the wake of the impeachment of former Deputy President Rigathi Gachagua. Kuria urged leaders to focus…
17 Aug 2025
- Overnight Saturday to Sunday, the Allied Democratic Forces carried out attacks against civilians in the town of Oicha, looting shops and setting fire to homes, according to accounts collected by AFP on the spot.
17 Aug 2025
- The meeting follows a summit in Alaska between Trump and Russian President Vladimir Putin that failed to yield any breakthrough on an immediate ceasefire that the US leader had been pushing for. 3