wanajeshi wa IDF wapeleka msaada wa matibabu hospitali ya Shifa

  • | VOA Swahili
    335 views
    Jeshi la Israel limeitoa video zinazoonyesha wanajeshi wa IDF wakipeleka msaada wa matibabu katika hospitali ya Shifa huko Gaza City. Jeshi la Israel lilitoa video siku ya Jumanne zikionyesha wanajeshi wakifyatua risasi na roketi kuelekea kwenye majengo katika eneo linalosemekana kuwa Gaza. Picha hizo zinawaonyesha wanajeshi wakikimbia kuelekea kwenye majengo yaliyozingirwa na vifusi na kufanya uvamizi ndani. Katika chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X, jeshi la Israel lilisema wapiganaji waliharibu njia za chini ya ardhi ndani ya kiwanda na kupata silaha mbalimbali.