- 2,030 viewsDuration: 2:35Baadhi ya kina mama waliojifungua wameendelea kuzuiliwa katika hospitali ya rufaa ya Eldoret, wengine wakisalia hospitali kwa zaidi ya miezi mitatu. Picha za mwanagenzi kutoka hospitali hiyo zilionyesha malalamishi ya zaidi ya kima mama 20 waliodai kutelekezwa kwa kukosa kulipa. Hata hivyo, Afisa mkuu mtendaji wa hospitali hiyo Philip Kirwa anasema kuwa baadhi ya kina mama waliojifungua hawakuwa na vitambulisho au vyeti vya kuzaliwa na kusababisha hitilafu kuhusu malipo.