- 1,443 viewsDuration: 2:19Siku 30 kabla ya wanafunzi kufanya mitihani, changamoto zimeendelea kujitokeza kwa maandalizi ya mpito wa wanafunzi wa gredi ya 9. Huku serikali ikisema imejiandaa na iko tayari kwa sekondari ya juu, wachapishaji vitabu nchini wanasema bado hawajaanza kuchapisha vitabu hivi kutokana na deni la shilingi bilioni tatu kutoka kwa serikali