- 444 viewsDuration: 6:14Kwa siku 114 mfululizo, kaunti ya homabay haikushuhudia kifo cha mama wakati wa kujifungua. Hata hivyo, kifo cha mama mmoja baada ya kunywa dawa za kienyeji kilisababisha hesabu ya kumaliza kabisa vifo vya kina mama wanapojifungua kuanza tena. Kaunti hiyo sasa inashirikiana na wakunga wa kienyeji ili kuhakikisha kuwa kina mama wajawazito wanatafuta matibabu hospitalini.