- 547 viewsMakubaliano kati ya Israel na Hamas kuwaachia darzeni ya mateka wanaoshikiliwa katika maeneo ya Wapalestina huenda yanaendelea, kwa mujibu wa ripoti mpya. Makubaliano kama hayo huenda yakapelekea kuwepo kwa sitisho la muda la mapigano la muda huko Gaza ili misaada inayohitajika sana ivuke mpaka. Maafisa wa Marekani na Israel na wanasema makubaliano yoyote hayajakamilishwa. #voaswahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Israel na Hamas huenda wakafikia makubaliano ya kuwaachia mateka
- 4 Jul 2025 - Machakos County clinicians have issued a seven-day strike notice after talks with the county government collapsed.
- 4 Jul 2025 - A man was on Friday arraigned at the Milimani Law Courts for allegedly defrauding another individual of Ksh.4.1 million in a fraudulent car sale deal.
- 4 Jul 2025 - Russia launched its largest-ever drone and missile attack on Ukraine overnight on Friday just hours after a telephone call between US and Russian presidents ended without any breakthrough.
- 4 Jul 2025 - Teachers will be trained in school-based assessments, which have elicited mixed reactions since they were introduced as part of the CBE.
- 4 Jul 2025 - Russia said on Thursday it had accepted the credentials of a new ambassador of Afghanistan, making it the first nation to recognise the Taliban government of the country.
- 4 Jul 2025 - The clarification comes weeks after the MP expressed ambitions to vie for the gubernatorial seat.
- 4 Jul 2025 - The petition is seeking to have Lagat's PA barred from carrying out any duties as per a letter that was issued by the DIG when he announced that he was stepping aside.
- 4 Jul 2025 - Justice Nyakundi termed the killing an "offence against humanity," noting that the minor was defiled before being murdered.
- 4 Jul 2025 - Passaris maintains that the intention behind the amendment is not to suppress dissent.
- 4 Jul 2025 - "If you are going to arrest us, arrest us now. But on Monday, at 8 am, you release us! We will be going to the streets again for the saba saba,” she said.