22 Sep 2025 10:09 am | Citizen TV 168 views Duration: 1:23 Kampuni ya kusambaza maji ya Garissa GAWASCO, imetoa ilani kwa wateja wake kuwa kutakuwa na uhaba wa maji katika mji huo kutokana na ujenzi wa daraja katika barabara kuu ya Garissa kuelekea Nairobi.