22 Sep 2025 10:12 am | Citizen TV 180 views Duration: 1:59 Wakenya wamehimizwa kukumbatia utangamano na kuishi pamoja kwa amani katika juhudi za kujenga uthabiti na mabadiliko katika jamii yenye usawa na haki.