22 Sep 2025 10:14 am | Citizen TV 1 views Serikali ya kitaifa inapania kujenga kiwanda cha kusafisha dhahabu katika kaunti ya Kakamega ili kuongeza thamani ya madini hayo kabla ya kuuzwa.