22 Sep 2025 10:18 am | Citizen TV 983 views Duration: 1:57 Walimu wa shule za sekondari msingi (JSS) kutoka kaunti ya Kwale wameshinikiza serikali kutenganisha shule hizo kutoka shule za msingi ili kujisimamia kikamilifu.