22 Sep 2025 10:20 am | Citizen TV 182 views Duration: 1:16 Gavana wa Kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti anaitaka serikali kuu kuharakisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Kaunti ya Machakos na Ukambani kwa jumla.