- 364 viewsDuration: 1:41Wakazi wengi wa vijiji vya Kaunti ya Trans Nzoia wanakabiliwa na changamoto kubwa za kutimiza ndoto zao maishani kutokana na hali ya umaskini. Hali hii imewafanya wengi wao kuishi na matumaini lakini kukosa njia za kuyafanikisha malengo yao, hivyo basi kuna haja ya mashirika mbalimbali na watu wenye nia njema kujitokeza kusaidia kuinua jamii hizo.