22 Sep 2025 10:36 am | Citizen TV 229 views Duration: 1:57 Wakazi wengi wa Pokot Magharibi bado huchukulia ufugaji kama utamaduni badala ya biashara, hali inayochangia kudorora kwa maendeleo na kuendeleza umaskini.