BBC imefichua orodha yake ya wanawake 100 wenye ushawishi kutoka kote ulimwenguni kwa mwaka 2023. Miongoni mwao kuna wanasheria, wanasoka na wanaharakati
Katika mahojiano maalumu, BBC imezungumza na Michelle Obama, Amal Clooney na Melinda French Gates ambao wameungana pamoja kukabiliana na ndoa za utotoni kwa wasichana.
Wanasema ndoa za utotoni ni suala la dharura na haraka ambalo linaweza kukomeshwa ikiwa viongozi wa dunia watalipa kipaumbele.
-
#bbcswahili #BBC100Women #BBC100Women2023
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
10 May 2025
- The family of former provincial commissioner Isaiah Cheluget, who died seven years ago, has threatened legal action to stop any transaction on its disputed land in Narok South.
10 May 2025
- The United Democratic Alliance (UDA) disciplinary committee has summoned Nominated Senator Gloria Owoba over her conduct that contravenes the party's Code of Conduct.
9 May 2025
- Suppliers owed hundreds of billion shillings by the government will be paid before the end of the year, President William Ruto has announced.
9 May 2025
- Orange Democratic Movement (ODM) leader Raila Odinga has advised the party's Secretary General Edwin Sifuna to tone down on his criticism of ODM leaders who joined the government under the broad-based partnership.