22 Sep 2025 10:50 am | Citizen TV 216 views Duration: 1:52 Waendeshaji bodaboda wametakiwa kukumbatia bodaboda za umeme badala ya zile zinazotumia mafuta ya Petroli Kwa minajili ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.