Wabunge 10 Wanawake kutoka Mlima Kenya wahofia kuchipuka tena kwa kundi la Mungiki
Zaidi ya wabunge 10 wanawake kutoka eneo la mlima kenya wamejitokeza kutoa lalama zao kuhusu hali ambapo wanahofia huenda kundi haramu la mungiki lililoongozwa na aliyekuwa kiongozi wake maina njenga limeanza kufufuliwa katika eneo hilo ambapo vijana wanadaiwa kusajiliwa kwenye kundi hilo lililosababisha maafa ya mamia ya wakenya na kupotea kwa mali miaka ya hapo awali
Wabunge hao wakiongozwa na mbunge mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya nyandarua faith wairimu, waliambia wanahabari katika majengo ya bunge la taifa kwamba wana hofu kubwa kufuatia mienendo inayoanza kushuhudiwa katika eneo hilo ambapo wakazi wanatishiwa na hata kushambuliwa huku vjana wao wakishawishiwa kujiunga na genge hilo
5 May 2025
- Mbadi has made cuts to the NIS, State House and State Department of Transport, among others.
5 May 2025
- Tea factories are set to receive millions after a record dividend payout.
5 May 2025
- The project is set to radicalise a key sector in the country.
6 May 2025
- Kenya’s Rising Stars suffered a crushing 3-1 defeat to Tunisia in their CAF Under-20 Africa Cup of Nations Group B clash at Cairo’s 30 June Stadium, a result that leaves their qualification hopes hanging by a thread. Despite taking an early lead through…
6 May 2025
- The late Kasipul Member of Parliament Charles Ong’ondo Were sustained five gunshot wounds, all fired from the left side of his body, autopsy reveals. According to a statement, an autopsy conducted by the Chief Government Pathologist, Dr. Johansen Oduor…
6 May 2025
- The suspects—Peter Kariuki Mathii, Issak Mugo Kanini, and David Nganga Macharia—were arraigned in court following their arrest by the Directorate of Criminal Investigations (DCI).
6 May 2025
- The officers — Francis Gachoki, Alexander Lorogoi, Isaac Wabukala, Michael Kimaiyo, Evans Kipsang, and Abdulrahman Ali Sudi — appeared before Principal Magistrate Kipkurui Kibellion and pleaded not guilty to one count of abduction with intent to confine.
6 May 2025
- Beyond debts and deficits: Will budget 202526 chart a new path?
6 May 2025
- How knowledge gaps, misinformation limits access to SHA services
6 May 2025
- Officers in Baby Pendo case charged with rape, murder and torture
6 May 2025
- Global attention shifts to Vatican City as papal conclave begins
6 May 2025
- Burden of advisers: Ruto's bloated team of 20 advisers drain Sh1 billion from taxpayers
6 May 2025
- Is Cabinet, Security Council not up to the advisory task?