'Hatuna mahali popote pa kulala'
Idadi ya watu waliokimbia makazi yao kutokana na mafuriko nchini Somalia imeongezeka hadi 100,000 katika kipindi cha wiki moja tu.
Mvua kubwa iliyonyesha mwezi Oktoba imesababisha vifo vya zaidi ya watu 100 katika eneo la Pembe ya Afrika.
Miji yote imeathirika, pia katika maeneo ya Kenya na Ethiopia.
Maeneo yaliyoathiriwa yalikuwa hayajapata auheni kutokana na ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea eneo hilo katika miongo 4.
Huku mvua nyingi zikitabiriwa, watu wanatelekeza nyumba zao na kuhamia maeneo makavu huku serikali na mashirika ya misaada yakijaribu kuwafikia walioathirika.
#bbcswahili #ukame #ethiopia
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Hundreds of students have decried the uncertainty surrounding their university school fees.
18 Aug 2025
- The project is expected to take 24 months.
18 Aug 2025
- Nairobi is among the regions flagged to experience moderate to heavy rainfall by the weatherman.
19 Aug 2025
- Although the Ministry of Education assured that the adjustments had been finalized, most universities are still unable to provide clear details on the revised fees, leaving many students uncertain about how much they are required to pay as admissions…
19 Aug 2025
- Meeting for their first-ever joint parliamentary group session, MPs from the two rival parties agreed on an implementation matrix that sets clear timelines for the process.
19 Aug 2025
- The meeting, attended by President Ruto, his deputy Prof. Kithure Kindiki, and ODM leader Raila Odinga, was expected to foster unity between the two sides. Instead, it was dominated by heated exchanges over corruption allegations that have rocked both…
19 Aug 2025
- In a Gazette Notice dated August 18, Senate Speaker Amason Kingi announced that the session, scheduled for 2:30 p.m. at the Senate Chamber in Parliament Buildings, Nairobi, will begin with Nabwire's official oath-taking.
19 Aug 2025
- Cake or crumbs? Counties starved of funds despite devolution promise
19 Aug 2025
- Arts stage loses boys as girls dominate festival
19 Aug 2025
- IM Bank eyes organic growth as half-year profit hits Sh11.7b
19 Aug 2025
- Confusion as SHA shuts all regional offices
19 Aug 2025
- Teachers' unions oppose Raila's proposal to devolve education
19 Aug 2025
- Cracks in Raila's party widen as Sifuna, Babu skip UDA-ODM talks