Skip to main content
Skip to main content

RUPHA yasitisha SHA, yadai Ksh 10B

  • | Citizen TV
    1,707 views
    Duration: 2:20
    Wagonjwa wanaotafuta huduma katika hospitali za kibinafsi sasa watalazimika kujipanga baada ya huduma za bima ya SHA kusimamishwa. Muungano wa hospitali za mijini na mashinani RUPHA ukisema kuwa hatua yake inafuatia madeni ya zaidi ya shilingi bilioni 10 ambayo hayakulipwa mwezi uliopita.