Skip to main content
Skip to main content

IPOA yachunguza kifo cha Warui ddani ya seli

  • | Citizen TV
    1,897 views
    Duration: 3:01
    Mamlaka ya utendakazi wa polisi ipoa imeanzisha uchunguzi kuhusiana na mauwaji ya mwanamume mmoja aliyefariki ndani ya kituo cha polisi cha central mjini mombasa. Maafisa wa polisi wanadai kuwa marehemu simon warui alikuwa amemuibia mwajiri wake nairobi kabla ya kutorokea mombasa. Hata hivyo, mambo yalimgeukia na kuishia kituo cha polisi ambako wanadai alijitoa uhai.