- 865 viewsDuration: 2:25Wamiliki halisi wa kampuni ya bima ya directline assurance sasa wamechukua usimamizi wa kampuni hiyo na kuteua maafisa wakuu wapya. Mwanzilishi wa kampuni ya royal credit limited inayomiliki hisa katika kampuni ya directline, daktari s.k macharia ameitaka tume ya kupambana na ufisadi kuchunguza madai ya ufujaji wa fedha na mali kutoka kwa kampuni hiyo