22 Sep 2025 8:57 pm | Citizen TV 879 views Duration: 18s Ni kipi kinakufanya umdharau binadamu mwenzako katika Dunia ambayo Mungu anambariki yeyote wakati wowote pasipo idhini? Nimeshuhudia waliodharauliwa wakiinuliwa na waliojiona bora wakianguka pasipo kutarajia