- 59 viewsDunia inapoadhimisha siku 16 kupinga ukatili wa kijinsia, mataifa wanachama wa shirika la Maendeleo ya serikali za mataifa ya Upembe wa Afrika IGAD, yamekubaliana kutekeleza sera ya pamoja ya kuhusisha wanawake katika kukabiliana na mizozo inayoathiri Amani na usalama. IGAD inasema changamoto za kiusalama katika mataifa mwanachama wake zinawiana, na kwamba mkakati wa mwaka 2023 hadi 2030 kuhusisha wanawake katika kutafuta suluhu la Amani na usalama ndio njia ya suluhu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wanawake kuhusishwa katika kutafuta suluhu za amani na usalama Afrika
- - Amerucan Golf Day ››
- 17 Aug 2025 - Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
- 17 Aug 2025 - A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
- 17 Aug 2025 - Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
- 17 Aug 2025 - Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
- 17 Aug 2025 - PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen
- 17 Aug 2025 - Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties
- 17 Aug 2025 - How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
- 17 Aug 2025 - Court battles bleed billions from public universities
- 17 Aug 2025 - Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
- 17 Aug 2025 - Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance