- 139 viewsRais ajaye wa COP28, Sultan al-Jaber, amefungua mkutano wa mwaka huu wa Umoja wa Mataifa wa hali ya hewa kwa kuzisihi nchi na makampuni ya mafuta kufanya kazi pamoja kukidhi malengo ya hali ya hewa. Serikali zinajitayarisha kwa mashauriano marefu iwapo wakubaliane, kwa mara ya kwanza, kuiondolea dunia matumizi ya makaa yanayotoa kabon dioxide, mafuta na gesi kama change kikuu cha kusbabisha hali ya joto. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Rais ajaye wa COP28 ayasihi makampuni ya mafuta kukidhi malengo ya hali ya hewa kwa pamoja
- - Amerucan Golf Day ››
- 17 Aug 2025 - Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
- 17 Aug 2025 - A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
- 17 Aug 2025 - Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
- 17 Aug 2025 - Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties
- 17 Aug 2025 - How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
- 17 Aug 2025 - Court battles bleed billions from public universities
- 17 Aug 2025 - Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
- 17 Aug 2025 - Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance
- 17 Aug 2025 - Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
- 17 Aug 2025 - PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen