Ndege za Israel zashambulia kwa mabomu Gaza, 109 wauawa
Ndege za kivita za Israel zilishambulia kwa mabomu Gaza Ijumaa (Desemba 1) baada ya mazungumzo ya kuongeza muda wa siku saba za sitisho la mapigano na Hamas kuvunjika, ikisababisha Wapalestina waliojeruhiwa kufikishwa hospitali na wengine mitaani kutafuta hifadhi sehemu salama.
Maeneo ya mashariki ya Khan Younis huko kusini mwa Gaza yalikumbwa na mashambulizi ya mabomu mara baada ya sitisho la mapigano kumalizika alfajiri, huku moshi mkubwa ukisambaa angani, waandishi wa Reuters katika mji huo walisema.
Maafisa wa Afya Gaza waliripoti kuwa watu 109 wameuawa na darzeni wamejeruhiwa katika mashambulizi hayo ya anga ambayo yalipiga nyumba nane. - Reuters
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
17 Aug 2025
- Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
17 Aug 2025
- A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
17 Aug 2025
- Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
17 Aug 2025
- Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties
17 Aug 2025
- How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
17 Aug 2025
- Court battles bleed billions from public universities
17 Aug 2025
- Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
17 Aug 2025
- Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance
17 Aug 2025
- Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
17 Aug 2025
- PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen