Kifo cha Mwanasiasa Mkongwe Lawrence Sifuna Simiyu
Aliyekuwa mbunge wa bungoma kusini (sasa kanduyi) lawrence sifuna amefariki.
Sifuna ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa bumula alitangazwa kufariki akiwa na umri wa miaka 77.
Kwa mujibu wa familia mbunge huyo wa zamani aliugua ugonjwa wa kiharusi(stroke) siku chache zilizopita.
Lawrence sifuna alichaguliwa kwa mara ya kwanza kama mbunge mnamo novemba 8, 1979, katika eneo bunge la bungoma kusini wakati huo. Alikitetea tena kiti chake mnamo 1983 .
Alishindwa na aliyekuwa kamishna wa mkoa wa kaskazini mashariki maurice makhanu katika uchaguzi mkuu wa 1988 baada ya eneo bunge la bungoma kusini kubadilishwa jina na kuwa kanduyi.
Sifuna alitwaa tena kiti hicho wakati wa uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi wa 1992 kupitia tiketi ya ford asili.
5 Aug 2025
- According to the CS, all schools will be affected.
5 Aug 2025
- This comes days after the application window for the September intake closed.
5 Aug 2025
- Thousands of Kenyans have not yet paid their HELB loans.
5 Aug 2025
- Elson Tumwine, who had gone missing while interning at Hoima, a city in Uganda reappeared in Entebbe Magistrate Court and was arraigned before Grade One Magistrate Tibayeta Edgar Tusiime.
5 Aug 2025
- Okode claims the letter was a forgery and that no such resignation exists, adding that it was the work of saboteurs.
5 Aug 2025
- Five people, among them an infant, were killed a road crash at Mbaruk area in Gilgil along the Nakuru-Eldoret Highway.
5 Aug 2025
- The United States on Monday issued a security alert after heavy gunfire erupted near its embassy in Haiti, with the impoverished Caribbean country engulfed by escalating gang violence.
5 Aug 2025
- The meeting comes about a month after the Registrar of Political Parties reaffirmed Uhuru as the Party Leader.
5 Aug 2025
- Since his arrival in the USA, Gachagua has visited Boston, Massachusetts, Maryland and Seattle.
5 Aug 2025
- The pastor had been suspended over allegations of misconduct.
5 Aug 2025
- National Council for Population and Development warned that Kenya is not adequately prepared to support its ageing population
5 Aug 2025
- According to the CS, all schools will be affected.
5 Aug 2025
- This comes days after the application window for the September intake closed.