Maporomoko ya ardhi Tanzania: Juhudi za uokozi zinaendelea
Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mafuriko na maporomoko ya ardhi kaskazini mwa Tanzania inazidi kuongezeka huku Zaidi ya watu 80 wakijeruhiwa vibaya kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika eneo la Manyara , Kwa mujibu wa serikali ya Tanzania.
Mafuriko makubwa yaliyosababishwa na El Nino yamesababisha vifo vya mamia ya watu nchini Kenya na Somalia na kuwalazimisha maelfu ya watu kuyahama makazi yao tangu mvua za msimu zilipoanza mwezi Oktoba.
Operesheni ya uokoaji inaendelea katika mkoa wa Manyara huku mamlaka ikihofia baadhi ya miili inaweza kunaswa kwenye matope, mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga aliwaambia waandishi wa habari Jumapili jioni.
Kupitia njia ya Video iliyowekwa mtandaoni wa wizara ya AFya , Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alituma salamu za rambirambi kwa familia zilizoathiriwa na kutoa idadi ya waliofariki na majeruhi ambao wanaendelea kupatiwa matibabu hospitalini huku wengine wakiruhusiwa kuondoka. Zaidi ya nyumba 100 zimeathiriwa na maporomoka hayo.
Mabadiliko ya hali ya hewa yamesababisha madhara makubwa ya hali ya hewa mara kwa mara, kulingana na wanasayansi wa hali ya hewa. - Reuters
#mafuriko #haliyahewa #vifo #Tanzania #mkoa #manyara #hanang #wilaya #voa #voaswahili
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
17 Aug 2025
- Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
17 Aug 2025
- A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
17 Aug 2025
- Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
17 Aug 2025
- Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
17 Aug 2025
- PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen
17 Aug 2025
- Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties
17 Aug 2025
- How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
17 Aug 2025
- Court battles bleed billions from public universities
17 Aug 2025
- Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
17 Aug 2025
- Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance