- 450 viewsNdege isiyokuwa na rubani ya Iran iliruka takriban mita 1,370 karibu na manuari inayobeba ndege za kivita USS Dwight D. Elisenhower wakati ikirusha ndege zake katika eneo la majini la kimataifa Novemba 28, 2023, kulingana na taarifa iliyotolewa na Jeshi la Majini la Marekani. Naibu Mkuu wa Jeshi la Wanamaji Brad Cooper, kamanda wa Jeshi la Majini Kamandi ya Kati, alisema kuwa droni hiyo “ilikiuka tahadhari za kiusalama” kwa kutobakia zaidi ya maili 10 za mwendo wa baharini (kilomita 18.5) kutoka katika meli hiyo. Hakuna yeyote aliyeripotiwa kujeruhiwa na hakuna ndege iliyoharibiwa. Droni hiyo ilipuuza ilani kadhaa zilizotolewa lakini hatimaye iligeuza muelekeo wake. “Huu mwenendo usio salama, usiokuwa na weledi, na tabia ya kutowajibika inayofanywa na Iran inahatarisha uhai wa Wamarekani na mataifa washirika na lazima ukome mara moja,” alisema Cooper. (AP) #Iran #PersianGulf #voa #reels #igreels #videography
Droni za Iran zaisogelea karibu Manuari ya Marekani katika Ghuba ya Uajemi
- - Amerucan Golf Day ››
- 17 Aug 2025 - Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
- 17 Aug 2025 - A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
- 17 Aug 2025 - Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
- 17 Aug 2025 - How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
- 17 Aug 2025 - Court battles bleed billions from public universities
- 17 Aug 2025 - Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
- 17 Aug 2025 - Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance
- 17 Aug 2025 - Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
- 17 Aug 2025 - PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen
- 17 Aug 2025 - Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties