Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Selemani Msindi almaarufu kama Afande Sele amesema hawezi kurudi kwenye siasa tena kutokana na kile anachokiita kutokuwepo kwa ukweli.
@afandesele1976 alivuma na vibao kama Watu pori, Darubini kali na vingine vingi ambavyo vilimzolea umaarufu mkubwa hata kutwaa tuzo ya mfalme wa Rhymes jina ambalo limesalia kwake hadi hii leo.
Lakini siku za hivi karibuni amewekeza nguvu zake kwenye utoaji elimu ya utunzaji wa mazingira kupitia muziki, makongamano na hata bustani darasa nyumbani kwake aliyoipa jina la Pori la Simba
@eagansalla_gifted_sounds alimtembelea Mkoani Morogoro na kuandaa taarifa hii.
#bbcswahili #tanzania #morogoro
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
10 May 2025
- The Court of Appeal has quashed a decision by Deputy Chief Justice Philomena Mwilu made on October 18, 2024, to constitute a three-judge bench to hear a petition challenging the removal of former Deputy President Rigathi Gachagua from office.
10 May 2025
- The family of former provincial commissioner Isaiah Cheluget, who died seven years ago, has threatened legal action to stop any transaction on its disputed land in Narok South.
10 May 2025
- The United Democratic Alliance (UDA) disciplinary committee has summoned Nominated Senator Gloria Owoba over her conduct that contravenes the party's Code of Conduct.
9 May 2025
- Suppliers owed hundreds of billion shillings by the government will be paid before the end of the year, President William Ruto has announced.
9 May 2025
- Orange Democratic Movement (ODM) leader Raila Odinga has advised the party's Secretary General Edwin Sifuna to tone down on his criticism of ODM leaders who joined the government under the broad-based partnership.