- 54 viewsHakuna maji ya bomba au mfumo mzuri wa maji taka katika eneo la Athi River, karibu na mji mkuu wa Kenya, Nairobi, na ukame unafanya usambazaji wa maji safi kuwa na uhaba mkubwa na ghali kwa wenyeji. Lakini kwa wale ambao nyumba zao zimepatiwa mfumo wa kusafisha maji na makundi ya kieneo, mto wa karibu – ni mchafu, na uko katika hatari ya ukame na kwa kawaida maji yake si salama kwa kunywa – umekuwa ni rahisi na chanzo cha uhakika cha maji safi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wakazi wa Athi River, Kenya walalamika kuhusu ukame na ukosefu wa maji salama
- - Amerucan Golf Day ››
- 17 Aug 2025 - Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
- 17 Aug 2025 - A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
- 17 Aug 2025 - Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
- 17 Aug 2025 - Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
- 17 Aug 2025 - PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen
- 17 Aug 2025 - Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties
- 17 Aug 2025 - How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
- 17 Aug 2025 - Court battles bleed billions from public universities
- 17 Aug 2025 - Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
- 17 Aug 2025 - Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance