Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza Wasaini Mkataba wa Hifadhi
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly na Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Vincent Biruta wamesaini mkataba wa hifadhi katika juhudi za kuufufua mpango wa pamoja wa serikali kuwahamisha wahamiaji kwenda katika taifa la Afrika Mashariki.
Mkataba mpya ni matokeo ya ziara ya Cleverly nchini Rwanda Jumanne, ambako alikutana na Biruta na kusaini mkataba kwa matumaini ya kukabiliana na uamuzi wa Mahakama ya Juu uliopitishwa mwezi uliopita ambao ulisema mpango huo ni kinyume cha sheria.
“Rwanda hivi sasa imekuwa na sifa thabiti ya kujali wengine na weledi wa usimamizi wa wakimbizi na wahamiaji,” Cleverly alisema wakati wa kusaini mkataba huo. (VOA)
#britain #rwanda #asylum #treaty #africa #voa
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
17 Aug 2025
- Following are key quotes from Russian President Vladimir Putin's statement after meeting U.S. President Donald Trump in Alaska on Friday.
17 Aug 2025
- A young Palestinian woman who was flown from Gaza to an Italian hospital in a severely emaciated state for treatment has died, the hospital said Saturday.
17 Aug 2025
- Auditor General queries Sakaja's Dishi na County project
17 Aug 2025
- Comedy of errors: Why Ruto has egg on face over jobs
17 Aug 2025
- PS denies money from e-Citizen platform accounts was stolen
17 Aug 2025
- Ruto's shift towards China reveals costly miscalculation on US ties
17 Aug 2025
- How background check cost ex-Equity Bank's staff plum job
17 Aug 2025
- Court battles bleed billions from public universities
17 Aug 2025
- Cheer Harambee Stars with an eye on the fly in our soup
17 Aug 2025
- Hustler accuses MPs of corruption, naysayers now await deliverance