Skip to main content
Skip to main content

Kesi mbili za Hillside Endarasha zimewasilishwa na tume ya haki ya KHRC

  • | Citizen TV
    335 views
    Duration: 2:04
    Kesi mbili zinazonuia kuzitafutia haki na fidia familia 21 zilizowapoteza watoto wao kwenye mkasa wa moto shuleni hillside Endarasha zaidi ya mwaka mmoja uliopita zimewasilishwa kwenye mahakama ya Nyeri na tume ya kutetea haki za kibinadamu,KHRC