- 332 viewsDuration: 2:34Serikali ya makueni imeanzisha vikao vya kuhamasisha umma kuhusu sheria za urithi wa ardhi ili kusaidia jamii kujua jinsi ya kufuatilia hatimiliki za mashamba waliyoachiwa na wazazi. Kadhalika, zoezi hilo linalenga kupunguza mizozo ya mashamba katika kaunti hiyo.