23 Sep 2025 1:21 pm | Citizen TV 5,810 views Duration: 57s Rais William Ruto ameunga mkono kwa Palestina kuwa taifa huru, ikijiunga na mataifa mengine ya Afrika kuunga mkono hatua hii kufuatia kuendelea kwa vita kati ya Palestina na Israel katika ukanda wa Gaza.