- 401 viewsDuration: 1:41Baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo kuhusu sehemu inayopaswa kujengwa Hospitali ya rufaa ya kitaifa katika kaunti ya Kericho, wakazi wa maeneo Bunge ya Kipkelion East na Kipkelion West wamehakikishiwa kuwa mradi huo utajengwa sehemu ya Londiani.