Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya vijana Busia wataka kiwanda cha matofali kubuniwa

  • | Citizen TV
    847 views
    Duration: 3:07
    Baadhi ya vijana kutoka eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wanaitaka serikali kuu kujenga kiwanda cha kutengeneza matofali eneo hilo wakilalamikia uharibifu wa mazingira unaosababishwa na utengenezaji wa matofali. Wakazi wengi kaunti ya Busia na maeneo mengine ya magharibi hutumia matofali ya kutengezwa na udongo kwa ujenzi wa nyumba