Wanachama wa kamati ya bunge kuhusu elimu wazuru KNEC kufwatia malalamiko kuhusu matokeo ya KCPE

  • | KBC Video
    28 views

    Baraza la kitaifa la mtihani limepokea malalamiko 712 kutoka kwa wazazi na shule,zikitaka kuangaziwa upya kwa matokeo ya mwaka huu ya mtihani wa darasa la nane,KCPE.Baraza hilo hata hivyo limesema kati ya malalamiko hayo,133 yamebainishwa kuwa halali na kurekebishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kcpe