- 41 viewsUmoja wa mataifa unatoa wito kwa jumuia ya kimataifa na vyombo vya habari kutosahau mzozo wa kibinadamu mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wakati ghasia dhidi ya wanawake na wasichana zikiripotiwa zinaongezeka. Idara ya huduma za dharura ya umoja wa mataifa OCHA inasema wanashirikiana na washirika wengine wa huduma za dharura kukabiliana na janga hilo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Jumuiya ya kimataifa yatakiwa kutousahau mzozo wa kibinaadamu DRC
- - Amerucan Golf Day ››
- 17 Aug 2025 - Ukraine's Volodymyr Zelenskiy flies to Washington on Monday under heavy U.S. pressure to agree a swift end to Russia's war in Ukraine but determined to defend Kyiv's interests - without sparking a second Oval Office bust up with Donald Trump.
- 17 Aug 2025 - Wiper Patriotic Front leader Kalonzo Musyoka has warned President William Ruto’s administration and potential investors against any attempts to sell or buy the Kenya Pipeline Company.
- 17 Aug 2025 - President William Ruto has gone full throttle in demanding the payment of music royalties in full, saying his administration is committed to supporting the music industry.
- 17 Aug 2025 - Twenty-two of the victims of last week’s Kisumu-Kakamega road accident have been laid to rest.
- 16 Aug 2025 - President William Ruto is scheduled to tour the United States next month for the 80th session of the United Nations General Assembly (UNGA) in New York, marking his first trip to the U.S. under President Donald Trump’s administration.
- 16 Aug 2025 - Police in Likoni, Mombasa County, have arrested a person of interest in an intelligence-led crackdown targeting local gangs.
- 16 Aug 2025 - The killer Coptic roundabout in Mamboleo along Kisumu Kakamega highway has been dug out by unknown people last night following cases of road accidents in the area, with the latest claiming 27 lives, out of which 22 are set to be laid to rest today in…
- 16 Aug 2025 - In today’s digital era, almost every aspect of daily life, from banking and communication to work and entertainment,
- - Trump told Zelenskiy after summit that Putin wants more of Ukraine, source says World 1 hour ago
- 16 Aug 2025 - The Democratic Republic of Congo (DRC) has raised objections over President William Ruto's nomination of a new Consul General to Goma, warning that such nominations require prior approval from Congolese authorities.