Skip to main content
Skip to main content

Mashindano ya mbio yaliyoandaliwa katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    331 views
    Duration: 1:46
    Wanariadha kutoka Kaunti ya Elgeyo Marakwet,wameibuka mabingwa wa mashindano ya mbio za nyika kaskazini mwa bonde la ufa yaliyoandaliwa katika kaunti ya Samburu. Shirikisho la riadha eneo hilo limeelezea matumaini makubwa ya wanariadha hao kushiriki mbio za nyika za Dunia mapema mwaka ujao.