Rais wa Russia azuru UAE na Saudi Arabia, aongoza ujumbe mzito kutoka Kremlin
Rais wa Russia Vladimir Putin amezuru Umoja wa Falme za Kiarabu Jumatano. Pia amefanya ziara huko Saudi Arabia ambako amekutana na Prince Mohammed bin Salman.
Alipowasili Abu Dhabi Rais Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan alimlaki “rafiki ” yake na ndege za kivita za UAE zilitoa salamu kwa mkuu wa Kremlin kwa kupita huku zikiacha nyuma alama ya rangi mbalimbali za bendera ya Russia.
Ujumbe wa Russia ulikuwa na maafisa mbalimbali wa ngazi ya juu kutoka sekta ya mafuta, uchumi, mambo ya nje, anga za juu na nishati ya nyuklia.
Haikufahamika mara moja nini Putin, ambaye ni nadra kwake kuondoka Russia tangu kuanza kwa vita vya Ukraine, anataka hasa kujadili kuhusu mafuta au siasa za kieneo atapokutana na Prince Mohammed bin Salman nchi inayo safirisha mafuta ghafi kwa wingi zaidi duniani. - Reuters
#russia #kremlin #vladimirputin #rais #sheikh #mohammedbinZayed #alnahyan #saudiarabia #abudhabi #prince #mohammedbinsalman
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
16 Aug 2025
- President William Ruto is scheduled to tour the United States next month for the 80th session of the United Nations General Assembly (UNGA) in New York, marking his first trip to the U.S. under President Donald Trump’s administration.
16 Aug 2025
- The killer Coptic roundabout in Mamboleo along Kisumu Kakamega highway has been dug out by unknown people last night following cases of road accidents in the area, with the latest claiming 27 lives, out of which 22 are set to be laid to rest today in…
16 Aug 2025
- The Democratic Republic of Congo (DRC) has raised objections over President William Ruto's nomination of a new Consul General to Goma, warning that such nominations require prior approval from Congolese authorities.
16 Aug 2025
- Politics can be messy, even desperate. But to cross the line into the indignification of women — reducing them to objects for male amusement — is not desperation. It is degradation.
16 Aug 2025
- The last days of July and the early weeks of August have been marked by a wave of
16 Aug 2025
- Kenya Power has issued a notice of planned power outages affecting parts of Nairobi, Machakos, Nakuru, and Mombasa
16 Aug 2025
- He described the voting process as irregular and predetermined.
16 Aug 2025
- Ghana international Semenyo took to Instagram after the game to show more racist abuse he had received.
16 Aug 2025
- Kipyegon clocked a blistering 8:07.04, the second-fastest time ever recorded over the distance
16 Aug 2025
- Deputy President Kithure Kindiki has warned opposition leaders against any attempts to destabilize the country to gain power, declaring such acts to be dangerous and unacceptable.