- 278 viewsWakiwa wamelazimika kukimbia makazi yao, kutokana na vita kati ya Israel na Hamas, Israa al-Jumalah na familia yake wamekuwa wanaishi katika mahema ya muda katika viwanja vya hospitali ya Shuhada al-Aqsa huko mji wa Deir al-Balah. Familia inahangaika kutafuta maziwa na mavazi ya mtoto wao, ikimlazimu mama yake kumlaza mwanawe aliyepewa jina la Israa kulala katika godoro sakafuni kwenye makazi yaliyotengenezwa kwa mbao. Israa anaeleza kuwa: “Tunakabiliwa na hali ngumu sana, tunaishi katika hema tukikosa mahitaji muhimu, na kwenye baridi, wakati wa baridi, hali ya hewa iliyopo hivi sasa, binti yangu anahitaji vitu vingi – maziwa, diapers, kwa kuwa mama yake, maziwa yangu hayatoshi kumnyonyesha, kama mtoto anahitaji vitu venye virutubisho, maziwa ya kumfanya akuwe.” - Reuters #Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #hospitali #Nasser #wagonjwa #madawa
Ukanda wa Gaza: Familia ya Kipalestina inaeleza dhiki inayowakabili wakiwa na mtoto mchanga
- 16 Aug 2025 - President William Ruto is scheduled to tour the United States next month for the 80th session of the United Nations General Assembly (UNGA) in New York, marking his first trip to the U.S. under President Donald Trump’s administration.
- 16 Aug 2025 - The killer Coptic roundabout in Mamboleo along Kisumu Kakamega highway has been dug out by unknown people last night following cases of road accidents in the area, with the latest claiming 27 lives, out of which 22 are set to be laid to rest today in…
- 16 Aug 2025 - The Democratic Republic of Congo (DRC) has raised objections over President William Ruto's nomination of a new Consul General to Goma, warning that such nominations require prior approval from Congolese authorities.
- 16 Aug 2025 - Politics can be messy, even desperate. But to cross the line into the indignification of women — reducing them to objects for male amusement — is not desperation. It is degradation.
- 16 Aug 2025 - The last days of July and the early weeks of August have been marked by a wave of
- 16 Aug 2025 - Kenya Power has issued a notice of planned power outages affecting parts of Nairobi, Machakos, Nakuru, and Mombasa
- 16 Aug 2025 - He described the voting process as irregular and predetermined.
- 16 Aug 2025 - Ghana international Semenyo took to Instagram after the game to show more racist abuse he had received.
- 16 Aug 2025 - Kipyegon clocked a blistering 8:07.04, the second-fastest time ever recorded over the distance
- 16 Aug 2025 - Deputy President Kithure Kindiki has warned opposition leaders against any attempts to destabilize the country to gain power, declaring such acts to be dangerous and unacceptable.