Mkanda wa Video ukiwaonyesha Wapalestina waliokuwa chini ya ulinzi wakiwa wamevuliwa nguo
Mkanda wa video ukiwaonyesha wanaume wa Kipalestina waliokuwa chini ya ulinzi wakiwa wamevuliwa nguo zote na kubakishwa na chupi huko Gaza, wakikalishwa chini na vichwa vyao kuinamishwa/ wanajeshi wa Israeli wamekusanyika karibu ya watu hao waliowekwa chini ya ulinzi.
"Tunazungumzia watu binafsi waliokamatwa huko Jabalia na Shejaiya (huko Gaza City), kwenye ngome ya Hamas na vituo vya kimkakati,“ Msemaji wa serikali ya Israeli Eylon Levy aliweleza waandishi alipoulizwa kuhusu picha hizo za Wapalestina.
“Tunazungumzia kuhusu umri wa wanaume wapiganaji ambao waliogunduliwa katika maeneo ambayo raia walitakiwa wawe wameondoka wiki kadhaa zilizopita.
Jeshi la Israeli limekuwa likiwataka raia waondoke katika maeneo ambayo ina mipango ya kuendesha operesheni yake baada ya kuanzisha kampeni yake ya kuwatokomeza Hamas huko Gaza kufuatia kikundi cha wanamgambo wa Kiislam kufanya mauaji ndani ya Israel Oktoba 7," alisema.
Husam Zomlot, mkuu wa Ubalozi wa Palestina huko London, alisema kwenye mtandao wa X inaonyesha “ubinadamu unapitia kipindi cha giza nene katika historia.
Mwanasiasa wa Palestina Hanan Ashrawi alisema katika mtandao wa X tukio hilo ni “jaribio la kitendo cha kuwadhalilisha na kuwanyanyasa wanaume wa Kipalestina … walivuliwa nguo na kuonyeshwa kama ushindi wa vita”. - Reuters
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #hospitali #Nasser #wagonjwa #madawa
16 Aug 2025
- The state agency also listed requirements for applications.
16 Aug 2025
- Some of the cars for sale are Toyota Wish, Corolla and Prado.
16 Aug 2025
- Police have launched an investigation into the incident.
16 Aug 2025
- President William Ruto is scheduled to tour the United States next month for the 80th session of the United Nations General Assembly (UNGA) in New York, marking his first trip to the U.S. under President Donald Trump’s administration.
16 Aug 2025
- The killer Coptic roundabout in Mamboleo along Kisumu Kakamega highway has been dug out by unknown people last night following cases of road accidents in the area, with the latest claiming 27 lives, out of which 22 are set to be laid to rest today in…
16 Aug 2025
- The Democratic Republic of Congo (DRC) has raised objections over President William Ruto's nomination of a new Consul General to Goma, warning that such nominations require prior approval from Congolese authorities.
16 Aug 2025
- Politics can be messy, even desperate. But to cross the line into the indignification of women — reducing them to objects for male amusement — is not desperation. It is degradation.
16 Aug 2025
- The last days of July and the early weeks of August have been marked by a wave of
16 Aug 2025
- Kenya Power has issued a notice of planned power outages affecting parts of Nairobi, Machakos, Nakuru, and Mombasa
16 Aug 2025
- He described the voting process as irregular and predetermined.
16 Aug 2025
- Ghana international Semenyo took to Instagram after the game to show more racist abuse he had received.
16 Aug 2025
- Kipyegon clocked a blistering 8:07.04, the second-fastest time ever recorded over the distance
16 Aug 2025
- Deputy President Kithure Kindiki has warned opposition leaders against any attempts to destabilize the country to gain power, declaring such acts to be dangerous and unacceptable.