Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa wa mauaji anayedaiwa kumuua msichana akana mashtaka Nyamira

  • | Citizen TV
    131 views
    Duration: 1:11
    Mshukiwa mkuu wa mauaji ya kinyama ya msichana mmoja aliyepatikana ameuwawa na kuzikwa eneo la Nyaosi katika kaunti ya Nyamira, alikana mashtaka katika mahakama kuu ya Nyamira kujibu.