- 648 viewsDuration: 2:04Viongozi wa chama cha ODM wakiongozwa na Kiranja ya wachache katika Bunge la Kitaifa Junet Mohammed pamoja na naibu Kiongozi wa chama hicho Simba Arati wamezuru uga wa Gusii kuafiki mipango ya kusherehekea miaka 20 ya chama cha Chungwa ukanda wa Nyanza na Magharibi