24 Sep 2025 10:29 am | Citizen TV 185 views Duration: 1:59 Wakaazi wa eneo la Tigania Magharibi wanaoishi kando ya Msitu wa Nyambene wanalalamikia ukataji wa Miti kwenye Msitu huo, Bila ya wao kufahamishwa.