Skip to main content
Skip to main content

Vijana washauriwa kujiepusha na siasa za uchochezi Kilifi

  • | Citizen TV
    161 views
    Duration: 1:43
    Baadhi ya vijana kutoka eneo la sabaki kaunti ya kilifi wametakiwa kutojihusisha na maswala yasiyo na misingi ambayo yataathiri shughuli zao za kila siku.