Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa dini mbali mbali wakongamana mjini Machakos

  • | Citizen TV
    241 views
    Duration: 2:16
    Kongamano la kimataifa la kidini maarufu Interfaith Convention limeng'oa nanga kaunti ya Machakos huku wajumbe wanaohudhuria kutoka kote ulimwenguni wakiwa mstari wa mbele wakitaka mabadiliko katika afya ya uzazi na usawa wa kijinsia, ili kuwezesha kina mama kuhusishwa katika maswala mbalimbali.